DUU..!! HII NDIO ORODHA YA WASANII WA KILI MUSICTOUR 2014 ILOYOTAJWA...TWEET HII YA JAYDEE YAMPONZA, AACHWA MWAKA HUU

Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na
Mwasiti. Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Juma Nature,
Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo Squad, AY, Vanessa
Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.
Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu kwa kile chanzo kimoja kimesema ni kutokana na tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika.
Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini ‘ujuaje wake
umemfanya apigwe chini’.

0 comments: