DIAMOND NA OMMY DIMPOZ WAFUNIKA VIBAYA KWENYE SHOW YAO HUKO UK (BONGOUK/CLUB)...JIONEE PICHA ZA MATUKIO HAPA

Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila chenga.

Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi

Ommy Dimples akiwapagawisha wabongo wa UK

Diamond ndani ya style yake ya V skirts akiimba kwa hisia mbele ya wa bongo wa UK,





0 comments: