BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO PWANI..


Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.


TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: